Hivi karibuni zilisambaa picha za Lulu Michael akiwa katika picha ya pamoja na Penny....
Picha hizo zilizua utata mkubwa
miongoni mwa watu huku kundi kubwa likidai kuwa picha hizo
zimepigwa makusudi kwa lengo la kumuumiza Wema Sepetu...
Lulu Michael akiwa na Penny
Madai hayo yaliandikwa kwa kina na
gazeti moja la udaku hapa nchini likisimulia ugomvi uliopo
kati ya Penny na Wema Sepetu.....
Waswahili husema:
Kama A=B na B=C basi C= A pia...!!!!
Huo ndo ulikuwa mtazamo wa gazeti hilo kusuhu ukaribu wa Penny na Lulu Michael.....
Akizijibu tuhuma hizo,Wema Sepetu
ameamua kuvunja ukimya na kudai kuwa hawezi kuwa na beef na
baby wake Lulu kwa sababu ya Penny.....
No comments:
Post a Comment