Showing posts with label wema. Show all posts
Showing posts with label wema. Show all posts

09 February 2016

Wema Sepetu aweka picha hizi Instagram zikionyesha ukubwa wa ujauzito alionao kwa sasa

Drama juu ya ujauzito wa Miss Tanzania 2006 na CEO wa Endless Fame, Mbongo Movie Wema Sepetu bado inaendelea baada ya kutupia picha hizi kwenye account yake ya Instagram ambazo zinaonyesha ukubwa wa tumbo lake kwasasa.

Picha hizi zilipigwa kwenye uzinduzi wa video ya Lupela yakwake Alikiba mwishoni mwa weeek iliyoisha.




07 February 2016

VJ Penny Apagawishwa Na Mimba Ya Wema Sepetu.

 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgTTzcr9fTJ3V80wUj-VslnFswNLJEEKowwacBs6nxl3TfSDXrwWY1Qc7E3DvGHuHfTuGVqkNKsG6Q0NH_oMjlMDmtqrJ5DMpw_V8L4CmTV-7iZEMieWZwQbS7SYf91cG4xvMMXEmjWaq_3/s640/j.jpg

Mwanadada anayepiga dili la utangazaji kupitia Zouk TV ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungwilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa mimba ya shosti wake, Wema Sepetu inampa ‘uchizi’ kwa kutamani kila kukicha na yeye anase ujauzito. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Penny alisema kuwa hivi sasa karibia rafiki zake wote wana watoto kitu kinachomchanganya na kumtamanisha na yeye atundikwe kibendi. “Unajua Wema atakapojifungua na kuna rafiki zangu wengine wana watoto nikikaa nao stori nyingi zitakuwa ni za watoto zao, mimi nitaongea nini sasa? Ndio maana nilipopata taarifa za ujauzito wake nilifurahi sana, pia amenipa mshawasha,” alisema Penny.

29 January 2016

Wema Sepetu adai Zari anamchokonoa, Aelezea hapa tofauti zao


post-feature-image

Muigizaji wa kike anayekubalika na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, ameelezea kwa kina chanzo cha ‘kuchambana’ Instagram na Zari The bosslady mpenzi wa Mbongo flava Diamond Plutnumz. Wema amesema amekuwa akivumilia matendo kadhaa ya ukorofi aliyokuwa akifanyiwa na Zari mitandaoni.

“Diamond ameshamove on ameshakutana na girlfriend wake, mama wa mtoto wake na mimi sikuwahi kujihusisha na mambo yao, lakini i think the girl (Zari) anakuwa kama ana kitu na mimi i have been quit for a very long time, first year nimekaa kimya, Second year nimekaa kimya. "its like kama vile ananichokonoa” alisema. Katika ‘line’ nyingine Wema amesema kwa sasa ana furaha kwenye mahusiano yake mapya na Idriss Sultan.

Ikiwa ni siku ya kuzaliwa Idris Sultan, Wema Sepetu ameandika ujumbe huu kwaajili yake

post-feature-imageNivigumu kudadavua neno mapenzi haswa pale unapokuwa unapendwa au unaona watu wanapenda. Wema Sepetu sio mara ya kwanza kuwa kwenye uhusiano na staa hapa nchini, Na kila mpenzi aliye wahi kuwa naye aliandika maneno matamu juu yake pale alipo jisikia kuandika. Na kwa Idris Sultan ambaye leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa, Wema kaandika haya.

"Nimeandika na kufuta karibia mara mia maana kila ninachotaka kuandika najikuta naona hakifai and maybe hakitoshi.... Im busy looking for the Proper words to tell you how I truly feel but naona kama sio.... I thought deep and I jus simply decided to write this: "Idris I love you, not only because you are my man or because you love me too.... No...!!! 

I love you because you make me a Better person, You changed my whole life.... You Complete me.....!!! I love you because you make me feel good about myself, you make my heart skip a beat everytime I see ur name appear on my phone as u call me, you fill my tummy with butterflies everytime I see u... I love you because you can make me cry but at the same time make me laugh hysterically... 

I love you because you have been nothing but Da Man Ive always wanted... From your character, your personality, your IQ and your way of thinking to The way u touch me, feel me, hold me, Kiss me.... The way u look at me, The look on your face wen u know Iam not okay or maybe im nat happy.... 

These are some of the few things that make me Love You more everyday...." On ur birthday I want to tell you that Im the Luckiest girl to hav you as My Man and Im gon keep you for a veeeery veeeery long time( I couldve said forever but we all know forever doesnt exist... Well im nat so sure) I cant ask for more... You are Just Wonderful... Lord I thank you for this Being... 

Iam Forever Grateful....!!! Lord I ask you to protect my love... Keep him for as long as you can because he is dat person I do not want to lose anytime soon... I just wish nothing but Happiness for you and I babe...Happy Birthday Booboo... Happy Birthday to you Hubby....!!!!!You are the only person That has really made me feel like a woman.... Oh...! I just love you with all my heart... Now before The Clock strikes 12, Let me be The 1st to wish you a Happy Birthday My Love....!!!" Wema Sepetu aliandika kwenye account yake ya Instagram.

CHEKI VIDEO...JINSI WEMA SEPETU ALIVYO MUONGELEA ZARI MCHUMBA WA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUGOMBANA NAYE INSTAGRAM



http://dm9afq7zol1mi.cloudfront.net/mashada.com/media/uploads/251/3dd64c9ae64881833de4634786547377.jpg
A video posted by Clouds Fm (@cloudsfmtz) on

TAZAMA VIDEO WEMA AKIELEZEA JINSI WALIVYO ANZA MAPENZI NA IDRIS

http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09VKBO5xpsb0crUV6cArceLVqVjVDxCcdk5ZwIYAfw*blda0BkvPwvVyi5thBSW3i4YqNqdXjK5Rq4Ysk*fiwU-Q/WEMA_SEPETU712.jpg

CHEKI VIDEO..... JINSI WEMA SEPETU NA IDRIS WALIVYO PIGANA DENDA LIVE NDANI YA STUDIO ZA CLOUDS FM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhkio_QMtaOsyMdAAq2Xtfidbv68LidO1pPL95DK0doOzg2I4lis_uV5FN7myTnDok9FoLfStpHkQCrNkI6WUltsNmMDfJBkkwRSsrk0x3kIIkpGgMhrIFiJ8yOP4HTX-oBG9cqlMeV3i2i/s1600/1.jpg
A video posted by Diva (@divathebawse) on

28 January 2016

CHEKI VIDEO JINSI WEMA ANAVYO MCHEZEA MPENZI WAKE IDRIS NDANI YA STUDIO ZA CLOUDS MDA HUU LIVE

WEMA ASIMULIA JINSI IDRIS ALIVYO MPA MIMBA...HIVI NDIVYO ILIVYO TOKEA

WEMA ALIMWAMBIA IDRIS KUWA ANATAKA KUSAFISHA KIZAZI...IDRIS AKASEMA SUBIRI KWANZA TUJARIBU TUONE KWA HIYO AKAMWAMBIA SIKU YA KUFANYA HILO TENDO ASILE KITU CHOCHOTE KUANZIA SAA TANO NA MIDA YA JIONI WAWEZE KUFANYA KITU HICHO..BAADA YA KUFANYA HICHO KITU  KESHO YAKE WEMA AKAANZA KUTEST MKOJO NA VIPIMO VYAKE KUONA KAMA AMENASA MARA VIPIMO VIKAONESHA KAMA AMENASA.BAADA YA KUONA HIVYO AKAPAGWA NA AKAONA NI BORA AENDE KWA DAKTARI WAKE ILI APATE UHAKIKA ZAIDI.
DAKTARI NAYE AKATHIBITISHA KWAMBA NI KWELI AMEPATA MIMBA.MTANDAO HUU WA THECHOICE UNAWAPA HONGERA SANA WEMA SEPETU NA IDRIS

EXCLUSIVEEE.....WEMA SEPETU NA MPENZI WAKE IDRIS WAKIWA LIVE CLOUDS FM MDA HUU


Wema sepetu na Idriss tayar wapo clouds fm kwaajili ya interview Ala za roho ya Diva..!!! Vipi wanenoga balaa

05 August 2013

WEMA SEPETU , IRENE UWOYA VITA RUNINGANI

  VITA mpya imeibuka ikiwahusisha warembo wa Bongo Movies,
Wema Isaac Sepetu na Irene Pancras Uwoya kufuatia kuanzisha vipindi vya runinga kwa mpigo. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Utafiti na Masoko wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, katika harakati za vipindi hivyo, alianza Wema kwa kuanzisha ‘aidia’ ya

02 August 2013

KESI YA WEMA, MAHAKAMA YAFURIKA ATINGA NA WAPAMBE KIBAO WATU WAPAGAWA ..MSAFARA WA MAGARI WAHUSIKA

KESI ya kudaiwa kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga vibao Meneja wa Hoteli, Goodluck Kuyumbu inayomkabili Staa wa Filamu, Wema Isaac Sepetu imeunguruma Jumatano iliyopita

25 July 2013

WEMA SEPETU ANUNUA GARI JIPYA LENYE RANGI YA PINK..Angalia PICHA HAPA

 
Haya ndio Maneno ya Martin Kadinda aliyoandika facebook na kuweka picha ya Wema akiwa na gari hilo

"samahani kwa ubora wa picha kuwa hafifu....... Ila huyu dada anapenda pink kupitiliza..... haya she gat new pink Car.... mkutane barabarani..." aliandika Martin.

21 July 2013

HIVI NDIVYO WEMA SEPETU ALIVYOFUTURISHA NYUMBANI KWAKE..!!

Mrembo anayetamba kwenye filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ au Madam jana alifuturu pamoja na wageni wake nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam. 
http://watemi.com/maraha/wp-content/uploads/sites/4/2013/07/WEMAAFUTURU5-240x306.jpg 
Baadhi ya wageni waliofuturu pamoja na Wema ni pamoja na Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, Petit Man ‘Wakuache’ na wengineo.  WEMAAFUTURU1 WEMAAFUTURU3

06 July 2013

ANGALIA VIDEO WEMA SEPETU AANZISHA REALITY SHOW.


wema
Wema Sepetu alitangaza kwamba anaandaa reality show yake chini ya kampuni anayoimiliki “Endless Fame”. Muda umefika wa kuanza kuonyesha hiyo show yenyewe na Wema ameshatoa teaser au kionjo cha reality show hiyo ambayo inaonyesha baadhi ya vitu vinavyohusika kwenye show hiyo. Kwenye hii teaser inamuonyesha Wema anazungumzia kazi, mahusiano na katajwa Diamond humo,ziara za Wema na maisha ya nyumbani.

28 June 2013

WEMA SEPETU AFUNGULIWA MASHITAKA!!

MMILIKI wa Kampuni ya Filamu ya Endless Fame, Wema Sepetu hivi karibuni amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya majirani zake kumshitaki kwenye serikali ya mtaa kufuatia tabia ya wafanyakazi wake kutiririsha maji machafu mtaani.

Video: Wema Sepetu akiporomosha matusi ya nguoni kwa mlinzi baada ya gari lake kuibiwa power window likiwa ndani kwake

Msanii nyota wa Bongo movie, Wema Sepetu, leo hii amejikuta akitoa matusi ya nguoni kwa mlinzi wake baada ya kukuta gari lake likiwa limeibiwa power window na betri la gari lake kuchomolewa.
hali hiyo imetokea nyumbani kwake Kijito nyama, pale alipokuwa akijaribu kuwasha gari lake na kuondoka.
video hii inaonyesha masjirani waliposkia kelele za matusi kutoka kwa mwanadadiva huyo waliamua kupanda sehem na kuchukua video ya kilichokuwa kikiendelea kwa kujificha.

Wema akimkimbiza mfanyakazi wake huku akiwa na beseni lenye maji
Mlinzi sa sijui alikuwa anaiwaza segerea au amechoka kwa mbio zilizokuwa zikiendelea humo ndani, au ndio zile "mungu wangu ntafanyaje mie mtoto wa watu"

15 May 2013

WEMA AZUNGUMZIA PICHA YAKE ILIYOSAMBAA MITANDAONI AKIWA KATIKA POZI ZA KIMAHABA NA RAHEEM....SOMA ALICHOKISEMA

HATA kama ukimkwepa vipi, lazima utakutana na stori yake tu! Staa wa Bongo, Wema Sepetu anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine, safari hii ametokelezea na mwanaume mwingine katika pozi tata lililozua minong’ono kwa mashabiki wake.

 
Wema akiwa katika pozi la kimahaba na mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Raheem.
Wema ambaye ni Miss Tanzania mwaka 2006, huku akifurukuta kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ametokelezea na mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina moja la Raheem katika mitandao

02 May 2013

KAMA ULIKUWA HAUJUI HII HAPA TIMU YA MAANGAMIZI YA WEMA SEPETU ENDLESS FAME, CHEKI HAPA

Hiki ndio kikosi ambacho wema anakiamini sana kwa sasa,katika kila kitu katika maisha yake hawa ndugu rafiki na hata wafanyakazi wake anaamini ipo siku maisha yake na yawafanyakazi wake yatakuwa sawa kimaendeleo. alilisema hilo kutokana na mshahara mzuri na mikataba mizuri aliyowapa wafanyakazi wake ambayo haiwabani hata kidogo.

 Kwa kawaida uwaonyesha upendo wa hali ya juu  wafanyakazi wake na mara nyingi upenda kuitwa mama.kutokana na anavyowatrity wafanyakazi wake kama watoto wake wakuwazaa.Hii ndio sababu ya wafanyakazi wake upenda kumwita wema mama na si sababu ingine.pichani wema akimbusu tiny daddy mzazi.

 Wakati wote ni wakati wa furaha japokuwa kuna mda mwingine mama uamka amekarika kidogo labda shemeji nyumbani amemstress kidogo na vitu kama

Comments system

Disqus Shortname