07 April 2013

Angalia PICHA: LULU MICHAEL, MAMA YAKE NA MAMA KANUMBA WATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU KANUMBA


 Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname