09 March 2013

huyu ndo mwizi ALIYEFUNGWA MIKONO na MIGUU NA KUTUNDIKWA KAMA NGUO

 
Huyu ni mwizi wa betri ya gari akisulubiwa kwa staili ya kufungwa juu kwenye ngazi pamoja na betri aliyoiba. Hatua hii ilichukuliwa na wananchi wa Uyole Mbeya huku wakisubiri polisi waje kumchukua mwizi huyo.

Baada ya polisi kufika walimchukua mwizi huyo huku wananchi wakiwa bado na usongo wa kumpiga

Comments system

Disqus Shortname