06 March 2013

HUYU NDO MWANAMKE ANAYEOLEWA NA 2FACE WIKI HII



Blogger maarufu wa Nigeria Linda Ikeji ameripoti kwamba staa wa muziki 2Face Idibia anatarajia kufunga ndoa ya kimila ijumaa hii tarehe 8 March 2013 na party nyingine ya harusi itafanyika Dubai, kwa sasa chukua time yako kupitisha macho kwenye pichaz za pre-wedding.
..
..

Comments system

Disqus Shortname