20 September 2014

HATIMAYE PETIT MAN AFUNGA NDOA NA DADA YAKE DIAMOND....CHEKI MAPICHA HAPA YA MABUSU TELE


 Ni habri mpya ya mjini kwa sasa,ndoa ya Dada 
wa Diamond na kipenzi wa Wema petiti man wakuache
,amabapo uhusiano wao ulioanza kama utani hatimae  umezalisha kile amabcho wengi
 hawakukitgemea kama kingekuwa mapema hivi...
Tunawatakia maisha mema ya ndoa na barka tele






No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname