07 March 2013

HATIMAE MSANII WA TAARAB TANZANIA HAMMER Q KAVUTA JIKO

Yule mkali wa hit song ya pembe la ng'ombe hammer q hivi karibuni amefunga pingu za maisha na mwanadada anaejulikana kwa jina la salha,kwa mujibu wa chanzo chetu kilisema harusi hiyo ilikwenda fresh kama ilivyopangwa .

Thechoicetz Blog tunakutakia ndoa njema na yenye baraka.amin


Comments system

Disqus Shortname