>>Habari mabibi na mabwana..
WALE WATAAALAM WA KUIWEKA NGOZI YAKO SAWIA @AK CLASSIC COSMETICS LEO WANAKULETEA BIDHAA ZA OTENTIKA!!HIZI NI BIDHAA ZENYE UBORA WA KIPEKEE KUTOKA SWITZERLAND,BIDHAA ZA OTENTIKA TOFAUTI NA BIDHAAA ZINGINE KILA MTUMIAJI ANATUMIA BIDHAA INAYOENDANA NA AINA YA NGOZI YAKE(KAMA NI YA MAFUTA SANA AU KAVU),NI BIDHAA AMBAZO ZIMEKUBALIKA SANA..KWANI HAZICHUBUI NGOZI,ZAIDI HUSAIDIA KUONDOA MABAKA,HARARA NA KUBWA ZAIDI HUIFANYA NGOZI YAKO ING'AE(GLOW) NA KUWA RANGI MOJA NA KUBAKI YENYE MUONEKANO WA KUVUTIA,WENGI WALIOITUMIA BIDHAA HIZI WAMEZIKUBALI,WEWE JE UNANGOJA NINI?
KWA MAELEZO ZAIDI INGIA www.akclassic.blogspot.com au wapigie 0713468393/0753482909.
HII NI SET YA BIDHAA ZA OTENTIKA KWA WATUMIAJI WENYE NGOZI YA KAWAIDA(NORMAL SKIN) AMBAYO MJUMUISHOWA WAKE NI KAMA ULIVYOBAINISHWA HAPO JUU ISIPOKUWA TU HIZI NI KWA WATU WENYE NGOZI YA MCHANGANYIKO |