07 January 2013

MBUNGE WA KENYA AINGIA BUNGENI NA KIDUKU

MBUNGE  Mike Sonko, Mbunge wa Makadara nchini Kenya,  mwenye vioja llukuki ndani na nje ya bunge, baada ya kuingia huku akiwa amevaa hereni maskioni, jana alionekana na kioja kingine baada ya kuingia bungeni akiwa ameonyoa nywele mtindo wa  KIDUKU na kukiandika "PEACE" katikati

Comments system

Disqus Shortname