10 November 2012
HATIMAYE ..LORD EYEZ Aongea na WAANDISHI WA HABARI.Angalia tukio zima hapa
Tukio zima limefanyika double view hotel, sinza. Lord amewataka watu wasimhukumu na tuwe na subira hadi mahakama itakapoamua
Pia kasema anaandaa mchakato wa kuwachukulia hatua wote waliopotosha habari kwakuwa alishinikizwa kuonekana ameiba
Newer Post
Older Post
Home
Comments system
Disqus Shortname