Mshindi
wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS),Walter Chilambo
(Dar) akikabidhiwa sanduku lake lenye kitita cha shilingi milioni 50
Mshindi
wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS),Walter Chilambo
(Dar) akiwashukuru wapenzi na msahabiki wake waliompigia kura na
hatimaye kuibuka mshindi wa shindano hilo
Mkurugenzi
wa kampuni ya Benchmark Productions Limited, na jaji mkuu wa Shindano
la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS), akiwa amemkumbatia mshindi wa
shindano hilo Walter Chilambo ndani ya ukumbi wa Diamond,Chilamba
ameibuka na kitita cha shilingi Milioni 50
Barnaba akiimba na mmoja wa washiriki
NshomaNg'hangasamala akiimba
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Linah na Amin wakiimbwa kwa pamoja wimbo mpya uitwa Mtima Wangu
Mwasiti akicheza na Wababa
MWASITI
WALTER
CHILAMBO ndiye mshindi wa Shindano la Epic Bongo Star Search (EBSS)
2012. Kufuatia matokeo hayo Kalambo amejinyakulia kitita cha Shilingi
Milioni 50 za Kitanzania kutoka kwa wadhamini wakuu wa shindano hilo
kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel.
Chilambo
ametwaa ubingwa huo baada ya kumwangusha mwana dada kutoka Zanzibar
ambaye alikuwa ni mshindani wake wa karibu katika kinyang’anyoro hicho
Salma Yusufu.
Salma Yusuphu
MC’s wa Show hiyo alikuwa kijana mtanashati
Huyu ni Salama Jabir na hapa ni katiak yale ya Look ndani ya fainali za EBSS 2012
Washiriki
wa Washindano la EBSS 2012 ambao wamefanikiwa kuingia fainali ya
shindano hilo wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa kuanza kwa fainali
hizo. Ni ndani ya Ukumbi wa Diamond Jijini Dar es Salaam. Mshindi
kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano wa Kampuni ya simu za Mikononi ya Zantel, Awaichi
Mawalla akiwa katika mahojiano na mmoja wa ma MC wa sho ya leo wakati akingia katika zulia jekundu la Fainali za EBSS nadani ya Diamond Jubilee.