Waislam wenye itikadi kali wavamia kituo cha police mbagala KIZUIZ NIwakidai wanamuitaji
mshitakiwa
wao haliyekamatwa leo asubui kwa kitendo cha kumnyang'anya binti msaafu
na kukojolea leo asubui. kwa kitendo hicho kiliwalazimu police
kuwatawanya watu kwa kutumia mabom ya machozi