11 August 2012

YAWEZEKANA HILI NDO GARI la MBWANA SAMATA


Mbwana Samatta mchezaji wa zamani wa Simba ambae kwa sasa makazi yake ni Congo Drc kwenye club ya Tp Mazembe, hii picha kaiweka facebook na hajaandika chochote kama ni lake au vp lakini mashabiki wake moja kwa moja wameanza kumpa pongezi.
source-Millard ayo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname