09 February 2016

Picha,50 Cent jukwani na T Shirt ya R.I.P Meek Mill.

meek il
Rapa 50 Cent anaendeleza beef yake na Meek Mill baada ya rapa huyu kuonekana kushikilia T Shirt iliyoandikwa “R.I.P. Meek Mill. 50 Cent alikuwa kwenye show na Chris Brown  mjini California.
 meek

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname