09 February 2016

PETER P SQUARE AKUTANA NA WACHEZAJI WA CHELSEA.

Peter wa kundi la P Square ni shabiki mkubwa wa club ya Chelsea na aliwahi kuwa kwenye academy moja na John Mikel Obi miaka 20 iliyopita wakiwa na ndoto za kucheza soka siku moja.
Peter alisafiri hadi England kwenda kucheki mechi ya Chelsea Vs United na kuishuhudia club yake ikitoka sare ya 1-1.Baada ya mechi alitumia muda wake kukutanana mastaa mbalimbali wa Chelsea.
Pia kuna habari kwamba Peter anataka kufungua kampuni kwa ajili ya kusimamia wachezaji soka. Peter ame-tease habari hiyo kwa kutumia hashtags za kwenye post yake ambapo ameitaja kampuni hiyo kwa jina na P Classic Football Management (PCFM)

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname