Kenya mtu akifanya vizuri wanamwita Magufuli.Kwa mfano fundi mzuri wa magari wanamwita Magufuli wa Magari,Mwalimu mzuri wa Hisabati wanamwita Magufuli wa HIsabati.Kwa jinsi lilivyosambaa Kenya laweza ingizwa kwenye kamusi ya kiswahili likimaanisha mtu mahiri katika kitu fulani
Mfano mzuri soma hapa uone neno Magufuli LILIVYOTUMIKA kwa wenzetu
I won't go slow, the 'Magufuli' of Education tells Ndunda - Capital News
source;jamiiforums
No comments:
Post a Comment