11 February 2016

INATIA HURUMA.....HIVI NDIVYO WATU WALIVYO NUSURIKA NA KIVUKO CHA KIGAMBONI MALA BAADA YA KUZIDISHA ABIRIA


 

Kigambon majanga  abiria imebidi wajitose baharini kuokoa maisha yao baada ya kivuko kupoteza muelekeo asubuhi hii baada ya kuzidiwa na idadi kubwa ya mizigo na abiria

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname