Profesa wa Chuo cha Ki-kristo cha Wheaton College, kilichoko Chicago
nchini Marekani ametimuliwa kazi kufuatia tamko lake kuwa Wailslam na
Wakristo wanaabudu Mungu mmoja. Awali, Profesa huyo aliyetajwa kwa jina
la Larycia Hawkins alimaishiwa kazi baada ya kuandika kwenye mtandao wa
Facebook akihusisanisha tamko la Papa Francis na kile alichokiamini. “As
Pope Francis stated last week, we worship the same God
No comments:
Post a Comment