08 February 2016

Director Adam Juma AISIFIA VIDEO YA ALI KIBA YA LUPELA


Siku moja baada ya staa wa bongofleva Alikiba kuiachia video ya ngoma yake ‘Lupela‘, leo Director wa long time Tanzania Adam Juma ameyatoa yake ya moyoni kupitia account yake ya instagramn baada ya kuona comments za watu wengine wakiikosa video yenyewe.
Adam Juma
“Lupela @officialalikiba , this is art, watanzania hatujui kuidadavua art. Hatujui thamani ya kitu, tunachukulia kiurahisi urahisi tu, kila mtu anajifanya anajua kitu ambacho sio sawa. Hii sio video tu, tulia basi angalia kwa umakini utapata ujumbe usipoelewa inawekana tatizo lipo kwenye level yako ya kuchanganua ujumbe ktk picha, btw sio fan wa alikiba ni mwana tu. Ningependa kusema video ni A one, haifanani na kitu ambacho tumezoe!!! Go kiba…...” – Adam Juma

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname