10 February 2016

Diamond kuachia album mpya hivi karibuni, imetengenezwa chini ya studio yake ya Wasafi Records


Obovu wa soko la Album Tanzania haujamtisha Diamond ambaye ametangaza kuwa Album yake mpya inakuja hivi karibuni.
Diamond amesema Album yake mpya pamoja na ya msanii ambaye yupo chini ya label yake Harmonize zimetengenezwa chini ya Studio zake za Wasafi
” Albam yangu Mpya, Ngoma Mpya na Albam ya@harmonize_tz , Na Ujio Mpya wa@raymondtiptop pia zote zimepikwa toka#WasafiRecords
Harmonize
Kupitia kwenye post hiyo aliyoiweka Instagram alisisitiza kuwa Album hizo zinakuja hivi karibuni
 “Soon zitakuwa Masikioni Mwako!!!!!!!!!!!!!!! ” Diamond alielezea
Studio hiyo tayari imetengeneza Hit ikiwemo ‘Aiyola’ ya Harmonize na ‘Sweety Love’ ya Akothee ambayo Diamond ameshirikishwa, Pia Tangazo jipya la Audio la Vodacom limerekodiwa chini ya studio hizo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname