22 January 2016

Zari aandika ujumbe huu kuhusiana na mahusiano yake kwa mama mzazi wa Diamond Platnumz

post-feature-imageWengi wamekuwa wakizusha yakuwa maam mzazi wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz hana mahusiano mazuri na Zari Hassan. Dakika chache zilizopita kupitia ukurasa wake wa Instagram Zari ameandika ujumbe unaoonyesha ni namna gani anampenda mama huyo.

Zari ameandika haya "Best part about being in Tz is i have her @rahdh_one she is the best grandma @princess_tiffah could ever ask for. I can sleep all day knowing Latty Platnumz is being taken care of. Asante mamaangu nashukuru������ I love u sana @rahdh_one #FlashBackFridays"

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname