13 January 2016

WEMA SEPETU HAMJUI MWENYE MIMBA ,HUENDA IKAWA YA IDRIS AU MH MBUNGE,MARAFIKI ZAKE WAMSHANGAA

Wema Sepetu ‘Madam’
Na Mwandishi Wetu,
Habari zinazosambaa kwa kasi ya ajabu kama moto wa kifuu zinaeleza kuwa, mtoto mzuri ndani ya Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ mbali na taarifa za kuwa mjamzito, hadi sasa bado yupo kwenye wakati mgumu kuweza kutegua kitendawili cha nani mmiliki halali wa kiumbe kilichopo tumboni mwake, Risasi Mchanganyiko linakupa habari kamili. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname