13 January 2016

SERIKALI YAMPA ZAWADI YA KIWANJA NA FEDHA MBWANA SAMATTA


mbv2
Mchezaji Mbwana Samatta aliyejishindia Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani nchini Nigeria akimkabidhi jezi yake Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makzi Mh. Wiliam Lukuvi katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyyat Regency jiji Dar es salaam usiku huu.
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname