WASTARA AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA MBUNGE WA ZANZIBAR,AELEZA MAZITO
Wastara ni Mwigizaji wa Bongo Movie, kulikuwa na picha chache zikizunguka mitandaoni zikimwonesha Wastara akifunga ndoa mtu aliyetajwa kuwa ni Mbunge, ninazo picha pamoja na maneno yake akithibitisha nda yake mpya.
No comments:
Post a Comment