10 January 2016

BREAKING NEWS : RAIS MAGUFULI BADO ANA KAZI KUBWA ,HAYA MAJIPU SUGU AMBAYO HAJAYAGUSA ,WASOMI WATOA KAULI KUHUSU MAJIPU HAYO



Rais Dk John Pombe MagufuliWakati viongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano wamefanikiwa kutumbua majipu katika ukwepaji kodi, ushuru wa bandarini na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, bado kazi hiyo ya kuibua ufisadi inaonekana kuwa kubwa zaidi kwa mujibu wa taarifa mbalimbali za ukaguzi na hoja zilizokuwa zinaibuliwa bungeni, kuna majipu uchungu sita yamebaki.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname