15 January 2016

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2015

Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname