09 January 2016

Masanja Arusha Kijembe , Madai ya Kusakwa na TRA

MASANJA33
Kufuatia taarifa za ‘udaku’ kuenea kuwa maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wana msaka mchekeshaji, mwimba nyimbo za Injili na mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji kwa madai kuwa mbali ya kumiliki magari zaidi ya sita huku taarifa za kodi zake hazionekani, staa huyo hivi karibuni anadaiwa kununua gari la kifahari aina ya Toyota Land Cruiser Super Charger lenye thamani inayokadiriwa kufikia shilingi milioni mia mbili.
Mwenyewe Masanja ameibuka kupitia ukursa wake wa Instagram na kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na moja ya magari yake na kuandika haya.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname