KUNA
madai kwamba, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura
Kasim ‘Sandra’ yupo katika maandalizi ya kuhamia kwenye makazi ya
Tandale alikokuwa akiishi zamani ili kumpisha mwanye na mama mtoto wake,
Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah kwenye makazi ya Madale jijini
Dar.
No comments:
Post a Comment