Gari la kifahari linalodaiwa kuwa ni la Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa limezua balaa kufuatia mwandishi wetu kumpigia simu ya kutaka kumuuliza swali ambalo lilitoka kwa wapigakura wake kufuatia madai kwamba amelinunua gari hilo kwa shilingi milioni mia mbili.
No comments:
Post a Comment