Stori: Deogratius Mongela
na Chande Abdallah, UWAZI
KAHAMA: Mashaka Andrea Malale (38), mkazi wa Kahama, Shinyanga anateseka
kutokana na ugonjwa wa ajabu uliompata tangu akiwa mdogo na kusababisha
alazwe katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili huku pia akidai kukimbiwa
na mkewe aliyemtelekezea wototo wawili.
No comments:
Post a Comment