13 January 2016

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA MSAADA SHULE YA MSINGI


MSINUNE Taasisi ya Flaviana Matata ilizindua rasmi msimu wa "BACK TO SCHOOL" kwa kutoa vifaa vya shule kwa jumla ya watoto 270 wa Shule ya Msingi Msinune ambayo ipo chini ya ulezi wa mwanzilishi wa #FMF na mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata. Zaidi ya kutoa vifaa vya Shule Flaviana Matata Foundation kwa kushirikiana na wadau wamefanikiwa kujenga choo na waalimu na wanafunzi shuleni hapo. fmf msinune Flaviana Matata akikabidhi mabegi ya shule kwa watoto wa shule ya Msingi ya Msinune ambapo ameteuliwa kama mlezi wa shule hiyo kwa mwaka wa tatu sasa. 

SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname