13 January 2016

BREAKING NEWS : RAIS MAGUFULI KIBOKO, APANDA NDEGE MARA MOJA,AMETOKA NJE YA DAR MARA BILI TU. AWEKA HISTORIA,

Wakati, Rais John Magufuli, akifikisha siku ya 70 ofisini leo tangu kuapishwa kwake Novemba tano mwaka jana,imebainika kuwa mpaka sasa amepanda ndege mara moja tu na kutoka nje ya jiji la Dar es Salaam mara mbili tu. 

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname