Makala hii inapatika kwenye ukurasa wa Facebook wa Zitto Kabwe
MTUMISHI
wa Mungu afumaniwe kwa uzinzi na mke wa mtu, kesho asubuhi aamkie
madhabahuni kuhubiri neno kisha waumini wapokee. Huko ni kumtania Mungu.
Mimbari
ni kwa ajili ya wasafi. Ukiwa mchafu hufai kuhubiri neno. Maneno ya
Mungu hayashereheshwi na mwenye uchafu.
No comments:
Post a Comment