BREAKING NEWS : MADAKTARI WANAOTOA MIMBA SIRI YAFICHUKA,WAANDALIWA KUTUMBULIWA
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa amewaonya Madaktari vinara wa Hospitali ya Rufaa
ya Songea ambao wanasifika kwa kufanya biashara ya kutoa mimba wanawake
na wanafunzi kuacha tabia mara moja,lasivyo atawafukuza kazi na kuwafunga jela.
No comments:
Post a Comment