BREAKING NEWZZ.....ALICHO ANDIKA EDWARD LOWASA MDA HUU KUHUSU KUINGIA IKULU NA TUZO ZAKE 1200 ALIZO POKEA.
Nimepokea
kwa unyenyekevu na furaha tuzo ya amani duniani ninayotarajiwa kupewa
na taasisi za kidini 1200 duniani, tuzo hii ni kithibitisho cha uongo wa
CCM na Serikali yake kuwa wapinzani ni watu wa vurugu.
Mimi
ni muungwana na nina hofu ya Mungu na hata siku moja sitoweka mbele
maslahi binafsi, na ndiyo maana niliwatuliza wananchi waliyokuwa
wakinitaka kutoa tamko baada ya matokeo kutangazwa.
Siko tayari kuingia Ikulu huku mikono yangu ikibubujika damu. Nashukuru taasisi hizi za kidini duniani zimeliona hilo.
No comments:
Post a Comment