31 August 2015

DR .SLAA KESHO KUWEKA KILA KITU HADHARANI,KUONGEA NA WAANDISHI SERENA HOTEL

Taarifa nilizozipokea kutoka kwa watu wa karibu kabisa na familia ya Dk Wilbroad Slaa hususani bi. Josephine Mushumbusi ni kwamba kesho saa saba mchana Dr Slaa atatangaza rasmi kujiuzulu ukatibu mkuu wa chadema taifa lakini pia kujivua uanchama wa chama hicho na kutangaza kustaafu siasa.Dr. Slaa atafanya hivyo ikiwa ni hatua yake muhimu ya kusubiri 'muda muafaka'  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname