MAAJABU...!! NABII YASPI AWAPONYA WAGONJWA KWA KUTUMIA PAFYUMU DAR
Nabii Yaspi akiibariki moja ya pafyumu hizo.
NABII wa Kanisa la The Revelation Church lililopo Buza-Kipera jijini Dar,Yaspi Paul Bendera, amefanya miujiza ya aina yake kwa kuwatibu watu kwa kutumia pafyumu ambapo watu wenye magonjwa mbalimbali walidai kupona kwa kupuliziwa pafyumu hizo.
No comments:
Post a Comment