Shilole amesema yeye ni ‘bad girl gone good’ thanks kwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Muimbaji huyo amesema kabla ya kukutana na Nuh Mziwanda alikuwa ‘walu
walu.’ Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Shilole amesema Nuh
amembadilisha kwa kiasi kikubwa na kwamba hajawahi kusaliti penzi lao.
“Kabla sijawa na Nuh ndio nilikuwa walu walu, yeye ndio
amenibadilisha. Baada ya kukutana naye tukazungumza na kupanga mambo
mbalimbali kuhusu maisha yetu, sijawahi kumcheat Nuh.”
No comments:
Post a Comment