14 July 2015

Sentensi 3 kutoka kwa Dr. Wilbroad Slaa kuhusu CCM

Dr Slaa 4Kwenye mkusanyiko wa stori za mitandao ndani ya siku tano zilizopita kutoka kwa walichoandika watu mbalimbali maarufu wa Tanzania, zipo pia hizi tweets za katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa.
Ameandika >>> ‘Siku ambayo Watanzania watatambua kwamba walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo, na kujua kwamba kikwazo ni CCM na kukiondoa haiko mbali, hakuna msafi CCM, wala hii si habari mpya… ubora wa CCM ulizikwa na Azimio la Zanzibar 1994, kwa mara nyingine tena tunapaswa kuamua
Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi‘ – Dr. Slaa.
Dr Slaa Dr Slaa 2

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname