13 July 2015

Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama Kikwete

Napata kigugumizi na mgagasuko mkubwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu, kama tutaweza kumpata Rais atakaye tuthamini kama wewe baba yetu, Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na hao watakaokupokea kijiti chako, nimeilewa sana hotuba yako siku ya leo (jana) hasa pale uliposema Bongo Fleva na Bongo Movie wameitangaza sana nchi yako ya Tanzania kimataifa na kusahau hata yale machungu unayoyapataga kwenye soka tutakukumbuka sana rais wetu

Vicent Kigosi “Ray” on instagram

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname