09 July 2015

MBUNGE BILIONEA AVAA KISELA SIKU YA KUWAAGA WANANCHI WAKE.


Mohamed Dewji amewaaga wananchi wa jimbo la Singida mjini baada ya kuwaongoza kwa muda wa miaka kumi nakuwashushia burudani ya nguvu toka kwa Diamond Platnum buree.Akiwa kwenye mavazi ya jeans,tshirt na kapelo katikati ya umati wa wapiga kula wake.Sababu ya kutogombea tena nikutaka kuwa karibu na familia yake na kuwa karibu na biashara yake imekuwa vyakutosha.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname