09 July 2015

H BABA ASAJILIWA TOTO AFRIKA KUONGEZA NGUVU YA USHAMBULIAJI MSIMU UJAO

Timu ya Toto Afrika imemsajili mwanamuziki maarufu ncchini "H-BABA" kuweza kuongeza safu ya mashambulizi katika ligi ku ya VODACOM.
Timu hiyo imeweza kumsajili mchezaji huyo mara baada ya kiwango chake kumvutia kocha wa timu afaamikaye kwa jina la John Tegete,
H-BABA aepata nafasi ya kusajiliwa katika timu hiyo mara baada ya nafasi yake kusajiliwa na timu ya AZAM kugonga mwamba. Mapema katika kipindi si kirefu timu ya AZAM ilionyesha nia ya kumnasa mchezaji huyo lakini kwa bahati mbaya vigezo vyake havikuwaridhisha timu hiyo na hatimaye kuitwa na Toto Afrika

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname