14 July 2015

DIAMOND ATANGAZA NIA ILI KUJUA NI JIMBO GANI HEMBU FWATILIA HAPA

 
Ikiwa Mchakamchaka wa Kuelekea Uchaguzi Mkuu mweni October Mwaka Huu Ambapo utafanyika kuchagua Rais wabunge na Madiwani.Uchaguzi wa Mwaka huu umekuwa na Presha Kubwa Hususan Wasanii wa Tanzania wengi wao
wameamua kujikita vilivyo katika uchaguzi huo.Msanii wa Bongo Diamond Platinums Naye hakuwa nyuma na hapa aweka mikakati ya Jimbo lake kuelekea mjengoni 


 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname