13 June 2015

UMEFIKA WAKATI WA BABU TALE NA SALIM KUMSAIDIA MDOGO WENU ALI KIBA..HAIJALISHI ALIWAKOSEA KIASI GANI..HUU SIO WAKATI WA KUVIMBISHIANA MISULI


Tafadhali naomba mnisikilize saaana #
@babutale @salaam_sk @officialalikiba
Umefika wakati wa babutale na salim kumsaidia mdogo wenu ali # haijalishi aliwakosea kwa kiasi gani au mnasahau maneno ya wahenga kua mtoto akinyea mavi mkono wako hauukati bali unausafisha tu.
Sasa huu ni wakati wa kuhamisha nguvu mlizo kua mnaziweka kwa dai mziweke na kwa ali kiba kwani kwa sasa kila kitu kiko wazi kua mipango na management yenye maana ndio nguzo pekee ya kufika mbali kwa mziki wa watanzania.
Huu sio wakati wa kuvimbishiana misuli na kuanza kujinadi wakati ukweli wa mambo uko wazii# 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname