13 June 2015

MSHINDI WA BIG BROTHER IDRIS SULTAN AINGILIA UGOMVI WA WEMA NA ZARI.

Mshindi wa big Brother Afrika Idrisa Sultan ameingilia ugomvi wa team Wema na Zari.Chanzo cha kurushiana maneno machafu yanguoni ni Diamond Platnum kupita nao wote,Amewaonya team hizo zitasababisha mimba ya Zari
kutoka.Team Zari wameingilia kati na kutoa ujumbe aliokuwa akichat na mtukanaji maarufu instagram Dougiemasta.Wamemwambia aachane na mambo yasiyo muhusu afanye yake washamchoka. 

BONYEZA HAPA KUONA VIDEO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname