Rais
Uhuru Kenyata baada ya kutembelea mtaani kwenye duka la mama Mulili
aliagiza soda na chapati.Akiwa ameongozana na makamu wake Ruto
alipomuuliza amnunulie soda alikataa na kuagiza maziwa,Mama Malili
mwenye duka amesema toka rais aje dukani kwake wateja wameongezeka na
kampuni ya soda imemuimalishia miundo mbinu baada ya kuagizwa na rais
wafanye hivyo.
No comments:
Post a Comment