01 June 2015

STAA WA HOLLYWOOD DOLPH LUNDGRED AMKOJOLEA MWENZAKE KWENYE NDEGE...TAZAMA PICHA


Dolph Lundgred amemkojolea star mwenzie Methew Pritelard baada ya kulewa pombe iliyochanganywa na madawa.Kilevi kikamfanya aweuke nakukojoa hovyo kwenye ndege hiyo binafsi.Hata hivyo kwenye ukurasa wake wa twitter ameomba masamaha kwa msanii mwenzake na mashabiki kwa kle alichokifanya.


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname