Latoya
Jackson dada wa marehemu Michael Jackson inakaribia kuanguka kama ya
kaka yake kutokana na kujichubua na upasuaji wa pua hiyo.Picha ya juu
inamuonesha alivyokua mweusi zamani lakini kwa sasa amekua akijichubua
ili kubadili ngozi yake ya athiri.Madhara yameanza kutokea sasa kwa pua
yake kuanza kudondoka.
No comments:
Post a Comment