Baada
yakuandaa mahali na kumsubiri mtoto wa Obama nchini kwenye mwezi huu wa
sita,Binti wakikenya kushoto ajitokeza nakuomba aolewe yeye wajenge
ikulu yao.Binti huyo ameandika barua kwa mwanasheria huyo akionesha
mapenzi ya dhati amekua akimfatilia muda mrefu mwanaume huyo kwenye
mitandao ya kijamii wala asijipe tabu kwa mtoto wa Obama yeye yupo
tayari kuolewa nae
No comments:
Post a Comment