Staa
wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye hivi karibuni alipata mtoto
aitwaye ‘Cookie’ amesema kama kuna mwanamke ambaye ana cheti cha ndoa na
Moses Iyobo ajitokeze la sivyo hawezi kumuacha.
Akizungumza
na Ijumaa hivi karibuni, Aunt alisema alipokuwa mjamzito amekuwa
akipewa vitisho vingi ikiwa ni pamoja na mwanamke kudai ameporwa mumewe
huyo.BONYEZA KUSOMA YOTE
No comments:
Post a Comment